Home » » AJABU....MWIZI WA KUKU AVULIWA NGUO BAADA YA KUKAMATWA......AFUNGIWA NDANI YA TENGA NA WANANCHI TAYARI KWA KUCHOMWA MOTO

AJABU....MWIZI WA KUKU AVULIWA NGUO BAADA YA KUKAMATWA......AFUNGIWA NDANI YA TENGA NA WANANCHI TAYARI KWA KUCHOMWA MOTO

tangazo

Huyu  ni  mkenya   aliyekuwa  ameiba  kuku.Wananchi  walipomnasa walimpa  kichapo  kikali  na  kisha  kumfungia  ndani  ya  tenga  la  kuku  kwa  ajili  ya  kumchoma  moto….

Wangali  katika  maandalizi  ya  kutafuta  petrol, polisi  waliwasili  eneo  la  tukio  na  kumuokoa  kwa  kumpeleka  kituoni

Tupe Maoni yako!

KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger