MGANGA WA DIAMOND AFUNGUKA NA KUDA KUWA ANGUKO LAKE LIMEKARIBIA MAANA HAMJALI SIKU HIZI


 Ustadhi Yahya Michael, mkazi wa Dar, hivi karibuni amejitokeza na kudai kuwa yeye ndiye mganga aliyempaisha mwanamuziki Nasibu Abdu ‘Diamond Platnumz’ ambaye kwa sasa ni kinara wa Bongo Fleva.....

Akizungumza na Risasi  katika mahojiano maalum maeneo ya Magomeni, Dar, mganga huyo alidai kuwa pamoja na jitihada kubwa alizofanya kumpaisha Diamond lakini anamshangaa kwa kuwa amesahau alikotoka na anajifanya supastaa.


Alidai kuwa siku hizi akimpigia simu, Diamond huwa hapokei, tofauti na zamani alipokuwa akihangaika kuchomoka kisanii.


Mganga huyo alifunguka kuwa sababu ya kufanya hivyo ni baada ya kuchukuliwa na watu waliompeleka kwa waganga wa Kigoma ambako anajidanganya kuwa ndiyo wanampaisha kumbe walimchukua akiwa ameshampandisha kwa kumpa dawa kali za mvuto.


Alizitaja dawa alizompatia Diamond kuwa ni mitishamba aina ya Dubi, Ntajamasala (hii humfanya watu wamuogope na kumheshimu), Italigula, Nkangacharo na Kalila Lila (ambayo huichoma na kuoga kwa ajili ya kuwavutia watu).

Alidai kuwa Diamond amejisahau na hajui kama anguko lake linakuja kufuatia ahadi aliyoiweka wakati anaanza kuimba baada ya kumpatia dawa hivyo atapotea kwenye muziki.


Akielezea historia ya kukutana kwao, Ustadhi Yahya alisema yeye na staa huyo walikutana miaka ya 2000 nyumbani kwa Papaa Misifa ambaye alikuwa meneja wa Diamond.


Alidai kuwa kubadilika kwa Diamond kulikuja baada ya kutwaa tuzo tatu za Kili mwaka 2010 ndipo akawa anahusudu wanawake tofauti na masharti ya dawa japokuwa alimkanya lakini hakumsikia.

DIAMOND ANASEMAJE?
Katika maelezo yake, Diamond alikataa kata kata kuwa hamfahamu mtu huyo kisha akakata simu.
“Sina msikiti nitakuwaje na Ustadhi? Huyo mganga nasema simfahamu,” alisema kisha akakata simu.

"NINA MPANGO WA KUWAFUFUA WASANII WALIOPOTEA KATIKA GEMU"..DULLY SYKES

Dully Sykes ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa Bongo Flava waliobahatika kuendelea kubaki juu kiasi cha kufanikiwa kuwa mmiliki wa studio mbili za kurekodi muziki.


Msanii na producer huyo wa Bongo Flava, hivi karibuni ameanza kuwasaidia wasanii wenzake walioanza muziki pamoja ambao kwa sasa wamepotea.

Dully aka Mtoto wa Kariakoo amemchukua Inspekta Haroun ambaye atakuwa chini ya menejimenti yake na studio anayoimiliki ya 4.12. Tayari wasanii hao wameshatoa ngoma ambapo Inspekta amemshirikisha Dully kwenye wimbo uitwao Ashura.

Wasanii wengine ambao hitmaker huyo wa Utamu Utamu amepanga kuwatoa tena ni pamoja na Mack D na kundi la Manzese Crew na pia akiongea na XXL ya Clouds FM jana, staa huyo alisema hivi karibuni ataachia wimbo mpya aliowashirikisha AY na Jokate Mwegelo.

JUX NA DIAMOND WATAMBISHIANA VIFUA.....


Diamond kwenye picha mbalimbali akionesha sixpacks zake!! Who is that girl? 
DIAMOND PLUTNUM

Jux JUX

"SIKUWA NA MPANGO WA KUIPELEKA GESI BAGAMOYO KAMA WACHONGANISHI WANAVYODAI".....RAIS KIKWETE


RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa gesi itakayochimbwa mkoani Mtwara haitapelekwa Bagamoyo kama ambavyo baadhi ya watu walivyokuwa wakidai.

Kikwete alisema hayo katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi Januari kwa taifa ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, uliozua mgogoro.

Alisema kuwa kuna watu waliosema kwamba gesi inapelekwa Bagamoyo ili kuzidisha chumvi na kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Serikali.

“Ujenzi wa bomba la gesi ndiyo uliozua mzozo wote huu. Zilijengwa hisia kuwa gesi yote inapelekwa Dar es Salaam na kwamba Mtwara itakosa gesi na maendeleo yatakayotokana na gesi hiyo. 
 
Na wengine wakasema gesi inapelekwa Bagamoyo ili kuzidisha chumvi na kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Serikali kwamba Rais anapeleka gesi kwao,” alisema Kikwete na kuongeza:

“Kwanza, Kinyerezi iko Ilala na siyo Bagamoyo. Pili, ukweli ni kwamba pale Mtwara kuna gesi nyingi ya kutosheleza mahitaji ya Mtwara, Lindi na Dar es Salaam na kubaki.”

Alifafanua kuwa gesi itakayopelekwa Dar es Salaam ni asilimia 16 ya gesi yote iliyoko Mtwara kwa miaka ishirini ijayo na kwamba asilimia 84 ya gesi itabaki Mtwara kwa ajili ya kuuzwa nje ya nchi na kupelekwa kwingineko nchini.

“Kwa sababu hiyo, ndugu zetu wa Mtwara hawana sababu ya kuwa na wasiwasi. Ipo gesi ya kutosha kwa mahitaji ya sasa na ya miaka mingi ijayo. Viwanda vinavyotumia gesi kama mali ghafi na vile vinavyohitaji gesi kama nishati vyote vitapata gesi ya kutosha. 
 
Hivi sasa tunacho kituo kinachozalisha umeme wa megawati 15 unaotumika Mtwara, Lindi, Tandahimba, Newala, Masasi, Nachingwea, Ruangwa, na Mtama. Bado umeme huo hautumiki wote hivi sasa,” alisema Kikwete.

Rais Kikwete aliongeza: “Nayaeleza yote haya kuwathibitishia wananchi wa Mtwara kuwa tunawathamini sana na kuwajali. Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuwapuuza na kuwatupa mkono wananchi wa mikoa ya Kusini. Aidha, sitakuwa tayari kuwaruhusu watu au mtu yeyote serikalini kuwapuuza wananchi wa mikoa ya Kusini au mkoa wo wote hapa nchini. Hiyo haitakuwa sawa.”

Alisema kwamba, kutokana na msimamo wake huo ndiyo maana Serikali imeelekeza nguvu na rasilimali zake nyingi katika mikoa iliyokuwa inadaiwa kuwa imesahauliwa na kwamba kazi ya ujenzi wa barabara za lami iliyofanyika na inayoendelea kufanyika katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Rukwa, Kigoma na Kagera inajieleza yenyewe.

Alitaja pia mipango ya kuboresha Kiwanja cha Ndege cha Mtwara kufikia hadhi ya kimataifa na uboreshaji wa viwanja vya ndege vya Lindi na Kilwa kuwa ni ushahidi mwingine.
Katika hotuba hiyo Rais Kikwete alizungumzia safari zake za Ufaransa, Uswisi na Ethiopia akisema kuwa safari hizo zilikuwa na manufaa makubwa kwa taifa.

Alisema kuwa katika safari ya Ufaransa licha ya kuimarisha uhusiano wa kirafiki, wawekezaji wengi wakubwa wameonyesha nia ya kuja kuwekeza nchini na kwamba wamekubaliana kuanza mazungumzo ya kuwa na mpango mwingine wa ushirikiano.

Kuhusu mkutano wa Kongamano la Uchumi wa Dunia uliofanyika Davos, Uswisi, Rais Kikwete alisema mkutano huo umeihakikishia Tanzania ushirikiano katika kuendeleza juhudi za kuleta mapinduzi ya kijani ili kujihakikishia usalama wa chakula, kupunguza umaskini vijijini na kukuza uchumi wa nchi yetu.

Katika hatua nyingine, Salum Maige kutoka Geita anaripoti kuwa madiwani wa Halmashauri za Wilaya za Geita na Nyang’hwale, mkoani Geita, wameitahadharisha Serikali kuwa iwapo itaruhusu gesi kubaki mkoani Mtwara, wao wataandamana kuzuia dhahabu inayochimbwa Geita na kampuni za kigeni, isitoke mkoani humo.

Gervas Kabulu, Diwani wa Kata ya Katoro ambaye alivuliwa uanachama wa Chadema na Diwani wa Kata ya Nzera ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Joseph Msukuma walitoa hoja hiyo katika Kikao cha Baraza la Madiwani wa wilaya hizo.

Madiwani hao walitoa hoja hizo juzi katika kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani wa wilaya hizo, kilichojadili taarifa za kamati mbalimbali kuhusu utekelezaji wa mipango yake.

Katika kikao hicho Kabulu alitaka madiwani wawahamasishe wananchi waandamane kupinga dhahabu inayochimbwa na kampuni ya Geita Gold Mine (GGM) isisafirishwe kwenda nje ya mkoa wa Geita.

“Mheshimiwa mwenyekiti kama Mtwara wameandamana, kwa nini tusiwahamasishe wananchi tuandamane, na sisi tuzuie dhahabu yetu kupelekwa Dar es Salaam?”a
lisema akihoji Kabulu.

Hata hivyo, katibu wa baraza hilo la madiwani, Ali Kidwaka alisema alitaka suala la gesi liachwe kwa Serikali na kwamba dhahabu ya Geita inawanufaisha wananchi wa Geita na taifa kwa ujumla.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa madiwani hao, Elisha Lupuga alipinga kauli ya diwani Kabulu ya kutaka kuandamana akisema kuwa anaunga mkono kauli ya Serikali ya gesi kusafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa kuwa inanufaisha wananchi wote.

Kwa upande wake Msukuma alisema kama Serikali itawakubalia wananchi wa Mtwara kuwa gesi ibaki mkoani humo na wao wako tayari kuwahamasisha wananchi wa Geita kufanya maandamano ya amani kupinga dhahabu kutoka Geita.

Sakata la kusafirisha gesi kupelekwa Dar es Salaam lilizua vurugu kubwa hadi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipokwenda kuituliza hali hiyo mkoani Mtwara.

Mwananchi

KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO


IMG-20130202-00659 3003b

IMG-20130202-00660 379e6
IMG-20130202-00662 fbb0d
IMG-20130202-00663 e8bdc
IMG-20130202-00664 8b87a
IMG-20130202-00665 d729a
IMG-20130202-00666 8f3b4
IMG-20130202-00667 14910
IMG-20130202-00668 7563e
IMG-20130202-00670 e394c
IMG-20130202-00671 f0557
IMG-20130202-00672 dbf82
IMG-20130202-00673 7dad1
IMG-20130202-00674 07e48
IMG-20130202-00675 f0886
IMG-20130202-00676 2afaa
IMG-20130202-00677 45b63

Meet the WOMAN who only sleeps with MARRIED MEN


Most women looking for love want a boyfriend who is at least a free agent. But Clare Jenkins chooses only MARRIED men.
Ever since her relationship broke down four years ago, sports manager Clare decided to exclusively date other people’s husbands.
And the 32-year-old single mum reckons it ENHANCES their marriages.
Clare said: “People reading this will brand me a brazen whore who has no care or thought for the wives of the men I so enjoy dating and — when I like them enough — sleeping with.
“But I do not want to be perceived as a marriage wrecker.
“Instead, I feel I make married men so much more satisfied in their lives that I actually enhance their marriage — they go home far more happy and are nicer to their wives.”
Here, in a frank interview, Clare — who meets men through an internet dating site for married people — lifts the lid on life as a mistress and the tricks attached men use to keep their steamy second life under wraps.
She says: “The reason I only sleep with married men is simple — I do not want any man having control over my life.
“If I was dating single guys they might fall in love with me and want to move into my home.
Clare, from Richmond, south-west London, believes it also means she can focus on her family — her two daughters aged 13 and four.
She explains: “By sleeping with married men, I get all the fun of dating interesting guys and none of the responsibility of having a relationship.
“The majority of women have no idea about their husbands’ secret lives.
“Nearly every single one of the married men who contact me say their wife does not understand them — that old cliché — and their lives, especially their s*x lives, have become very stale and boring.”
Clare, who draws the line at dating newly-weds, continues: “I go for men who have been married a while, who are effectively looking for my help.
“I can clearly see what the men get out of dating me. They get a slim, attractive woman who hangs on their every word and is genuinely interested in their lives.
“If the relationship progresses to bed, then they have an exciting new, young partner who is happy to do things their wives might never imagine in an amazing fantasy world.
‘The internet has opened up the world of infidelity to men’ … Clare Jenkins meets men on dating site.
In that fantasy world, Clare says she “transforms herself” and declines to tell the men about the fact she has children or where she lives. “In my normal life I am a casual dresser, but when I meet my married men, I put on a beautiful, fitted dress and high heels. My make-up is immaculate, my hair is beautiful.
“I become someone else — a glamorous lady who is treated wonderfully by the men she meets. They are usually extremely polite and well-mannered.
“I allow them to be very masculine. So many women today are trying to boss their husbands and dominate them. I become soft and feminine when I am with my married men and they love it.
“I pick the men I sleep with very carefully, and I always weed out the men who only want s*x. I am by no means an easy conquest. Not all my relationships are s*xual, but it is exciting when it reaches that level.”
Clare continues: “I usually start by meeting them for coffee, then if I like them it progresses to a meal — and then if the relationship moves on we go to a hotel. It’s all part of the fantasy — I wouldn’t usually go to these places, and the men are happy to pay.”
She says: “Usually I see about four men at one time. I meet them through the website Illicit Encounters.
“The internet has opened up the world of infidelity to men — they can now meet attractive, single women like me at the click of a mouse.
“We communicate via email or text — I bet a lot of women don’t know their husbands have another, secret phone, the one they use to call and text me.
“I suspect many of the men on the website are seeing several women at a time — I insist on condoms, as s*xual health is extremely important and I would never compromise myself.
“Of course I know there is a real stigma to what I do. But there are so few guys out there now who aren’t married or in relationships, and I don’t want to take on someone else’s problems.
“I feel really flattered if a guy says to me, ‘I thought I didn’t know how to feel like this any more’ — but I know he won’t leave his wife.
“I don’t think about their wives. Yet I’m not saying to myself, ‘Hee hee, I can get your man and you know nothing about it.’
“After all, it’s not my fault they want to see me.
“Maybe one day I’ll stop. But I think I’ll wait until my kids are grown up, and I have more time for a committed relationship with a single guy. In the meantime, I am having a lot of fun.
“My advice? If I was a wife, I’d want to know why my husband spent so much time on the internet…

daily post

MBINU 10 ZA KUANZISJHA MAHUSIANO MAPYA NA IMARA...



When we’ve been burned in a relationship, we go into new relationships a little more wary.Here are some tips to help you when you’re ready to try again.

10 TIPS FOR STARTING A NEW RELATIONSHIP

 
1. 
Settle the past. Work with a therapist to understand how and why you picked your failed marriage. 
2. Realize you can make a choice. OK. Something bad happened. You are not a victim. You can and will move on.
3. Learn who’s safe and not safe and how to be safe. Once fooled, twice smart. Learn the early warning signs that someone lacks integrity and construct proper boundaries to keep people like that far from your heart.
4. Get clear about your expectations. What do you want for yourself? What are you moving toward? Know what your values are and be clear about what you’re looking for in a relationship. Then, be bold about not settling for less.
5. Realize there are wonderful people everywhere. Uh huh, you ended up with a world class schmuck AND the world is full of really great people.
6. Learn where to go to meet people who enjoy the same things you do. If you like to dance, take dance lessons. If you like to hike, join a trail club.
7. Hold off on the séx. Give yourself time to get to know someone before jumping in the sack.
Sociologist Dr. Edward Lauman’s research found that 85 percent of couples had known each other at least 30 days before having séx and 45 percent waited at least a year.
8. Check out their “fit.” How are they around your family and friends? How comfortable are you around theirs?
9. Pay attention to their overall behavior. Is this person an “easy keeper” or is your relationship full of drama? Are there periodic temper tantrums? Regular “flake sessions?” If so, next!
10. Listen to your gut. You have a built-in radar that alerts you when something is up. So, listen to and honor your intuition.

KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSIANA NA WATU WALIOCHOCHEA FUJO ZA MTWARA


Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Pinda asema zaidi ya makampuni 51 yameonyesha nia ya kuwekeza mkoani Mtwara kutokana na gesi iliyogunduliwa hivyo ametoa wito wa wananchi wa Mtwara kudumisha amani ili kuvutia wawekezaji zaidi.

Amesema kutokana na hofu ya baadhi ya wawekezaji lipo tishio la baadhi ya wawekezaji kutaka kujitoa na makampuni mengine kusitisha mipango yao ya kuwekeza Mtwara kutokana na vurugu zilizotokea hivi karibuni.

Namkariri Waziri mkuu akisema “gesi inayozalishwa Mtwara ni gesi ambayo ni sehemu ya rasilimali ya Umma, ni gesi ambayo inapaswa kuwanufaisha watanzania wote ambapo viwanda vingi vitajengwa Mtwara pamoja na Lindi ambako nako vilevile gesi inapatikana, gesi inayotoka kwenye visima vya msimbati vinavyokadiriwa kuwa na karibu trilioni 3 mpaka 5 za gesi na ambapo sasa kiasi ambacho kinachoendelezwa ni kama milioni 260 tu kwa hiyo bado gesi ni nyingi”


Ameongeza kwamba “hiyo gesi ndio tunataka iletwe pale mjini Mtwara kiwanda cha kusafisha gesi kinajengwa Mtwara Mabinda, haya ndio yanayoleta mvuto kwa makampuni mengine kwa ajili ya kuwekeza katika viwanda vya mbolea na viwanda vingine kama hiki cha Nangote ambacho tunatarajia kianze kujengwa march 2013 kwa ajili ya uzalishaji wa saruji”


January 31 2013 bungeni, Mbunge wa Hai Freeman Mbowe katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu aliitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wote waliohusika kuchochea vurugu za wananchi Mtwara ambapo Waziri mkuu alimjibu kwa kusema hiyo ishu iko ndani ya mamlaka ya waziri mkuu na mamlaka ya Rais lakini kinachotakiwa kwa sasa ni kuimarisha amani na sio kumtafuta mchawi.

Namkariri akisema “Vyama vya siasa vimechangia sana katika kupotosha jambo hili, tatizo lililojitokeza ni kila mmoja alilichukua na kulitafsiri kutegemea na malengo ambayo anataka kuyafikia katika eneo lile, kikubwa sasa tumefika mahali pazuri… kubwa isiwe kutafutana uchawi”

VIDEO YA HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO 
 KIKWETE, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JANUARY, 2013

VIDEO YA WABUNGE WA UPINZANI WALIPOSUSA NA KUTOKA NJE YA BUNGE


Video ya wabunge wa upinzani waliposusa na kutoka nje baada ya hoja ya Jmes Mbatia kupuzwa

KUTOTAHIRIWA KUMEMFANYA TAYLOR SWIFT AMPIGE CHINI MPENZI WAKE

Kuna tetesi kuwa muimbaji wa country nchini Marekani, Taylor Swift ameamua kuachana na mpenzi wake member wa kundi la One Direction, Harry Styles.

Kwa mujibu wa mtandao wa The National Enquirer sababu za kuachana kwao ni kutokana na Styles kuchoshwa na malalamiko ya kila kukicha kutoka kwa Taylor kutokana na kuwa hajatahiriwa.



“Taylor didn’t like the fact that English-born Harry was not circumcised – she even suggested he undergo surgery,” chanzo kimoja kilicho karibu na Harry kiliuambia mtandao huo.

Kiliongeza kuwa Harry aliweka wazi kuwa hana mpango wa kutahiriwa.

IDD AMINI APIGWA CHINI MEDALI ZA HESHIMA KWA MARAIS WALIOWAHI KUIONGOZA UGANDA


Idd Amin Dada.

Mwenyekiti wa kamati ya Taifa ya Tuzo na Medali nchini Uganda Jenerali Elly Tumwine ameweka wazi kuwa katika tuzo za heshima zilizotolewa kwa marais waliowahi kuingoza nchi hiyo pamoja na watu wengine ambao mchango wao unatambulika..

 Aliyewahi kuwa rais nchini humo Hayati Field Marshal Idi Amin Dada hakupata heshima kwa sababu aliacha urithi wa mfumo mbaya wakati wa uongozi wake.

Marais wote wametunukiwa Medali za Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda wakati wa maadhimisho ya sherehe za chama cha NRM kutimiza miaka 27 yaliyofanyika wilaya Kasese, ambapo rais Yoweri Museveni alipokea medali ya, sambamba na watu wengine 43.
Jumla ya watu 3,500 nchini Uganda watapokea tuzo hiyo ambayo inawatambua mtu mmoja mmoja kwa mchango wake katika kutoa huduma na uzalendo kwa nchi hiyo tangu ilipopata uhuru.

Jenerali Tumwine amesema Amini hakutambuliwa kwa sababu ya mfumo mbaya alioutumia wakati wa uomgozi wake.

Amini alikuwa rais wa Uganda kutoka mwaka 1971 hadi 1979 ambapo aliingia madarakani kwa kupindua serikali ya Milton Obote Januari 1971.

Marais wengine wote waliopita wakiwemo Sir Edward Mutesa, Obote, Yusuf Lule, Godfrey Lukongwa Binaisa na Gen. Tito Okello, wametunukiwa medali hizo za heshima.

BALOZI SEIF AWAJULIA HALI MAJERUHI WA JAHAZI LILILOZAMA ZANZIBAR


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Abiria Juma Ali Jaku wa Jahazi ya Sun Rise iliyopata ajali na kuzama  kati ya Tanga na Mkokotoni ikiwa imebeba Abiria 32 kati ya hao 21 wameokolewa na saba hadi sasa hawajapatikana. Kushoto ya Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mh. Pemba Juma Khamis.

Nahodha wa Jahazi ya Sun Rise iliyozama kati ya Tanga na Mkokotoni Bwana Abdulla Saleh akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mkasa uliowapata wa kuzama baada ya chombo chao kupatwa na dhoruba kali.

WAFANYAKAZI WA SERIKALI GAMBIA SASA KUFANYA KAZI KWA SIKU 4 TU KWA WIKI KWA MSHAHARA ULE ULE



Serikali ya Gambia imetambulisha mfumo mpya wa siku za kufanya kazi kwa wafanyakazi wa serikali ambapo sasa watafanyakazi kwa siku nne tu, huku siku ya Ijumaa nayo ikiwa siku ya mapumziko.

Rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh (pichani) amesema wananchi wa Gambia ambao wengi wao ni waislamu sasa watapata muda zaidi kusali, kushiriki shughuli za kijamii na kulima mashamba yao.

Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa sasa wananchi wa Gambia wanapaswa kuingia mashambani kupanda mazao ya chakula na kutumia chakula hicho ili taifa hilo liwe tajiri.

Rais huyo amesema mishahara haitapunguzwa kwa sababu kwa siku hizo nne watu watafanyakazi zaidi ya saa za kawaida ili kufidia siku ya tano.

Shule za serikali sasa hazitafunguliwa tena Ijumaa, ila sekta binafsi zitafanyakazi zao ila hazitaweza kufanya biashara yeyote na serikali siku hiyo.

Rais Jammeh mwenye historia ya kuwa na tabia za kustaajabisha hajawapa wananchi wa Gambia muda wa kujiandaa kwa mfumo huo mpya.

Rais Jammeh aliingia madarakani kwa mapinduzi yaliyomwaga damu mwaka 1994.


MTANDAO WA KENYA WADAI KWAMBA ALLY KIBA ANAMIPANGOYA KUJIUNGA NA U FREEMASON ( ILLUMINATI)



Mtandao Kenya Daily Post umemtaja Ali Kiba kuwa miongoni mwa majina ya mastaa barani Afrika wanaohisiwa kujiunga na jamii ya siri ya Illuminati.


Umesema majina hayo yamekuwa yakizungumzwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii. 

Wasanii wengine iliyowataja ni pamoja na Wizkid, Camp Mulla, P-Square(wanaodaiwa kumtoa kafara mama yao), sold their souls to the devil for fame), Tb Joshua, Cabo Snoop, Asamoah Gyan, Jozi, D’banj (Godfather of illuminati in Africa), Sarkodie, Ice Prince, Genevive Nnaji, Teargas (South Africa), Chameleone,Octopizzo, Nonini, Nameless na Avril.

NGOMA MPYA YA DIVA AKIWA NA MR. BLUE.."MGONJWA KWA RAHA ZAKO"

 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger