MSANII wa filamu Martha Nkunde ‘Martha’, ameuambia mtandao huu
kuwa kamwe hawezi kushiriki kwenye filamu ya mtu kwa kutoa rushwa ya
ngono, na kama hivyo ni bora akae nyumbani kuliko kujidhalilisha na
mwisho wa siku azungumziwe kuwa ni muhuni.
Martha alifunguka na kudai kuwa kwa upande wake ni heri asifanye filamu kwani kitu kibaya ni kujirahisisha na kama una kipaji huna sababu ya kuruhusu kuchezewa ovyo.
Martha alifunguka na kudai kuwa kwa upande wake ni heri asifanye filamu kwani kitu kibaya ni kujirahisisha na kama una kipaji huna sababu ya kuruhusu kuchezewa ovyo.
Hata hivyo aliongeza kwa tangu
alipoingia kwenye tasnia hiyo hakuna mdau wa filamu aliyewahi kumuomba
rushwa ya ngono kwa lengo la kupata nafasi ya kushiriki kwenye filamu.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.