Showing posts with label bongo movie. Show all posts
Showing posts with label bongo movie. Show all posts

" NANI MALAYA KATI YANGU NA SINTAH?"...RAYUU




BAADA ya picha za msanii za Rayuu kusambaa mitandaoni na kushika kasi kwenye macho ya watu na hadi kufikia hatua ya msanii Christine John ‘Sintah’, kudai kuwa msanii huyu anatafuta umaarufu kunuka, naye Rayuu ameamua kumjibu kwa kuhoji kuwa kati na yeye na Sintah nani malaya, na haoni sababu ya kumtukukana kwa sababu ya picha zake zinaonesha mgongo na si kitu kingine.

Kauli chafu aliyoitumia
Sintah kwa Rayuu ni hii aliyosema kuwa msanii huyo anatafuta ‘umaarufu kunuka’, huku kauli nyingine alizotumia kuponda picha za msanii huyo zikiwa katika utata kiasi kwamba kuna ishu kubwa ambayo inataka kutokea kati ya wasanii hawa wawili.

Hata hivyo Mwandishi 
alizungumza na Rayuu, ili aeleze ni kitu gani kinachosababaisha hadi Sintah kutoa kauli kama hizo dhidi yake, ambapo alidai kuwa suali la picha hizo imekuwa gumzo kwani haitaji bifu na Sintah, kwa sababu hakuna siku hata moja ambayo amewahi kuzungumza nae katika maisha yake.

Rayuu
alisema kuwa hajawahi kufanya kitu chochote kibaya kwa Sintah, lakini anashangaa kuona yeye ndiyo amekuja kasi kumtukutana kupitia blog yake.

Hata hivyo
Rayuu alitumia ukurasa wake wa facebook ili kumtaka Sintah asiwe na kimbembele kwa kufuatilia vitu ambavyo havijui.



Aliongeza 
“Sintah dn talk on tings ambazo hujui zilipo anzia u were supposed to ask coz u dn evn knw wea da pic came from besides kwan mgongo ni uchi or tatoo ni uchi i may nat speak may b bcz i dn c da reason ya mm kupoteza pumzi yangu on smthng ambacho kimesababishwa na mtu mmoja and kwann usinge nifata personal if u really want to correct me!pics za uchi mnaziacha hiyo tatoo imekuwa gumzo! Having tattoos on ma body s nat a crime anyway!na pia mgongo c uchi!”, ni maneno aliyoyandika Rayuu kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook.


-----------------------------------------------------
MTAZAMO WETU:


RAYUU  ACHA  UTOTO.  HAYO  MATITI  YAKO  UNAMUONESHA  NANI?  UNA CHUKIA  NINI  WAKATI  WEWE NDO  ULISAMBAZA  HIZI PICHA?

BABY MADAHA AMPOTEZA MAMA YAKE MZAZI


Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya bongo Baby Madaha, yupo katika huzuni kubwa baada ya kumpoteza mama yake mazazi jana usiku baada ya kuumwa kwa muda mrefu. 

Mwili wa marehemu unasafirishwa leo kupelekwa Musoma nyumbani kwao ambapo mipango yote na taratibu za kuzika zitajulikana huko.

Mwandishi wa mtandao huu
alizungumza na Madaha ingawa hakuweza kuzungumza sana zaidi ya kutokwa machozi huku akisema kuwa amempoteza mama yake kipenzi ambaye alikuwa akimsapoti kwenye vitu vingi ndani ya maisha yake.

“Naumia sana lakini najua yote ni mipango ya Mungu kwani kila kitu kimepangwa, hivyo tunamuombea mama yetu aweze kwenda salama mbele za haki kwani sote hiyo ndiyo njia yetu,”
alisema kwa maskitiko makubwa sana.

MAUNO YA SHILOLE YAWADATISHA ASKARI

WAKATI SHILOLE ANAPERFORM FIESTA 2012, ALIWADATISHA MPAKA ASKARI NA MABAUNSA......






 Nilichokigundua ni kwamba askari pamoja na kikosi cha mabaunsa waliokua mbele kabisa kuhakikisha usalama unakuepo, wote waligeuka kuangalia stage baada ya Shilole na dancers wake kudatisha kwa jinsi walivyokua wanacheza, yani jamaa walijiachia kabisa.

 

SHIRIKISHO LA FILAMU LAAPA KUWASAKA WANAUME WAPENDA NGONO


KIMENUKA,  kwa wasanii wapenda ngono kwani Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), chini ya Rais wake Simon Mwakifwamba limesema kuwa litawasaka wasanii wa kiume wapenda ngono.

 Hali hiyo imekuja kufuatia skendo ya baadhi ya waandaaji wa kiume kudaiwa kuwanyanyasa wasanii wa kike kwa kuwataka kimapenzi ili  kuwapa nafasi ya kuigiza.

Akizungumza na mwandishi wetu , Mwakifwamba alisema anaandaa siku maalum kwa ajili ya kuzungumza na waandaaji hao baada ya kupata malalamiko kutoka kwa baadhi ya wasanii wa kike hivi karibuni Leaders Club, Kinondoni jijini Dar.

“Kama Rais wa Taff nimepokea malalamiko yao na ninayafanyia kazi,  nitazungumza nao maana hata mimi mwenyewe imeniuma na ninaona wasanii wa kike wanahitaji msaada zaidi,” alisema Mwakifwamba.

Baadhi ya wadau walisema kama Taff itachukua hatua hiyo, Bongo Movie hali itakuwa ni tete kwa wasanii hasa wa kiume.

SAKATA LA KUTAFUTA UMAARUFU KUPITIA PICHA ZA UCHI.....WASANII MNABOA


Hii  inatosha  kabisa  kuthibitisha  kuwa  wabongo hujipiga  picha  kwa  makusudi  na kuzisambaza.....

Huyu  demu ni Mary John,.....Siyo  siri  hili  jina  kwangu  ni  geni.Maana yeke  ni kwamba  demu  ni  underground  na  anatafuta kutoka na kujulikana kupitia skendo.......


Hivi  ni  nani  atakayehangaika  kukuvizia chumbani  ili  akupige  picha?  hizi picha hujipiga  wenyewe.Wasanii  mnatia aibu.

ORODHA YA MASTAA NA WAREMBO WABONGO WANAO KWENDA KUJIUZA CHINA


JACKI CLIFF
Tumezoea kusikia sijui flani kaenda china sijui nani yuko china bila kujua kaenda kufanya nini cha msingi. 

Dodoso  imefuatilia na kubaini kinachowapeleka baadhi ya hao mastaa wachafu na wasichana wabovu huko china. 

Dodoso  imebaini kuwa baadhi ya mastaa wachafu huenda kujiuza kwa mfanyabiashara mmoja wa kitanzania anaejulikana kwa jina la omary ambae huwatumia TICKET na kuwalipia viza kisha wadada hao kwenda kumburudisha mfanyabiashara huyo kwa kitanda na baada ya hapo kulipwa dola 500 kama mshahara wa kazi yao.

 Mfanyabiashara huyo ameandika list yakutosha ya wasanii wa kike aliolala nao na bado anaendelea na mchakato huo wakuendelea kuwavuta  mastaa hao akiwa na lengo la kuwamaliza kabisa.

Dodoso  imeweza kubaini wasichana kadhaa ambao wamepita kwenye ka mchezo huo kuwa ni JACKIE CLIFF(kabla ya ndoa) , REHEMA FABIAN, pia wasichana wengine  ni MAFRA , ADOL JEWEL mwanafunzi wa CBE na CATHERINE . 

Dodoso  inaendelea kufuatialia kwa umakini juu ya wengine na pindi itakapo wabaini itadondosha hapa live
CATHERINE
MAFRA

REHEMA FABIAN




ADOL MWANAFUNZI WA CBE


OMARY MFANYABIASHARA ANAEWANUNUA MASTAA WA KIKE NA MABINTI WA KIBONGO

VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE: JE JAMII INAJIFUNZA NINI?


Kutokana  na  kutokuwa  na mhimili  wa kusimamia  maadili  hapa  nchini,wasanii wetu  wameendelea kuwa  VIOO WA NGONO hapa nchini  huku wengi  wao  wakiwa  ni  wadau wa bongo movie......

Uchunguzi  uliofanywa na mtandao huu umebaini kuwa wengi wao hufanya uchafu  huo kwa kukusudia ili  wakuze majina  yao.......

Mbali na kusudi  hilo, wapo ambao huwahonga  waandishi  wa  habari  za magazeti  ili  wawapige picha  wakiwa  UCHI, ama  wawaoneshe  MAKALIO yao, au MATITI  yao.......

Tuchukulie mfano wa hii video ya utupu ya Agness Masogange,.....Ukiiangalia  utagundua kuwa  uchafu huo ulifanyika  chumbani,tena wakiwa wawili  tu......

Cha ajabu, siku  moja tu  baada ya kujirekodi  wakifanya mapenzi, video  hiyo  waliisambaza  katika  mitandao mbalimbali.........

Je, lengo lilikuwa  nini?....Serikali  haioni?.....Jamii  inasemaje?



video

AUNT LULU AWASIHI WANAWAKE WATUMIE DAWA ZA KICHINA KUKUZA MAKALIO YAO


MTANGAZAJI maarufu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ amewashauri mabinti wanaotaka kukuza makalio yao, watumie dawa za Mchina licha ya kuwa yeye hazitaki hata kuzisikia.

Akizungumza na dodoso, Aunt Lulu alisema licha ya kuwa yeye hajawahi kutumia dawa hizo lakini kwa wale wanaotaka kuwa kama yeye basi watumie kwa raha zao.


“Tumieni nyie mnaotaka kukuza makalio, mimi sijawahi kutumia na sitawahi kwani yangu ni ya asili,” alisema Aunt Lulu.


STEVEN NYERERE AANDAA TAMASHA LA KUMUENZI BABA WA TAIFA



Jumapili ijayo ya tarehe 14, October ni ‘Nyerere Day’ ambayo hutumika kumuenzi hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Kutokana na siku hiyi msanii wa filamu na mchekeshaji nchini, Steve Nyerere amesema ataitumia kuandaa tamasha la kumuenzi baba wa taifa.


“Nyerere Day ni tarehe 14 itaangukia siku ya Jumapili mimi kama mimi nimeamua kutengeneza kitu ambacho kitakuwa kina mkumbuka mwalimu Nyerere kitu hicho kitaonyesha filamu yangu ya mwalimu Nyerere pale Sunrise Kigamboni,” Steve ameiambia Movie leo ya Clouds FM.

“ Nitaalika watu na watu wengine ambao watapenda kujumuika na familia watoto wa bibi na mabwana basi wanakaribishwa Sunrise kuja pale Sunrise Kigamboni na vilevile jioni nitaonyesha filamu ya Mwalimu Nyerere, kutakuwa kuna viongozi mbali mbali tutaalika, kuna viongozi wa kidini tutawaalika na vilevile nitapeleka hata kwenye viongozi wa Serikali kwasababu Nyerere day kwa sasa hivi kitaifa ina fanyikia Shinyanga, sasa kwa Dar es salam hapa tupo tunamwenzi lakini kumwenzi zaidi Steve kama Steve ndiyo maana nimeamua kuifanya huko Sunrise na wananchi wa Kigamboni nao wameomba kweli lazima kuwe na kitu fulani.”

“Kwahiyo Sunrise wameamua kunipa support na mimi sikuweza kuikataa hiyo support nitakuwa na baadhi ya wasanii wa filamu ambao wamecheza hii filamu ya mwalimu Nyerere kwahiyo nao nita kuwanao katika kufanya usiku huwo ya tarehe 14 kwa kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwasherehe zaidi,”aliongeza.

“Kwa wale ambao nitakuwa nimewapa kadi kuna kadi ambao nitawapa za free kadi ambazo zitatoka kama 50, na zingine tutachangia pale kama 5,000 hivi.”

IMEVUJA: MASTAA WAMEKUWA NA TABIA KUWAHONGA WAANDISHI ILI WAANDIKWE MAGAZETINI


Utakuta mtu akienda chooni anajipiga picha na kumuhonga mwandishi amtoe gazetini......

Hivi nyie mastaa mna mtazamo gani?  au mnajitangaza mpate soko haswa ladiez kama wema sepetu, jackline wolper, shilole jini kabula n.k

Utakuta mtu bila ya aibu anamwita mwandishi wa habari anamlipa hela kidogo anapachua sidiria au kichupi then anamwambia mwandishi  nipige picha ukatoe gazetini.....Hii  ni aibu

Mnatutia aibu jamani navichupi vyenu na visidiria vya mafungu.....Hivi ninyi hamna wazazi au ndugu au hamkufundwa huko kwenu?......Badilikieni jamani

SINTAH AMPA MAKAVU RAYUU KWA KUSAMBAZA PICHA ZENYE TATOO KATIKA NYETI ZAKE



Baada ya muigizaji wa filamu na video model maarufu kwa jina la Rayuu kusambaza picha mtandaoni zikionesha tattoo alizojichora kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wake kama kiunoni, shingoni, kwenye maziwa, makalio na mapaja, watu mbalimbali wamejitokeza na kumponda.

Miongoni mwao ni mtangazaji wa kipindi cha Harusini cha DTV, Sinta aliyeamua kuitumia website yake kumpa somo mugizaji huyi aliyeigiza filamu kama The Image, Trinita Show, Sound of Death, One House na zingine.




“Hivi mtasema mimi namuonea kuandika hivi ama?? mimi ni mtambo wa kurekebisha tabia kwakweli waigizaji wengine wanatafuta umaarufu kwa kasi sana,sasa huyu so called msanii wa Bongo wa filamu anataka atoke,na ameshatoka sasa,una pose upigwe picha ili watu wakuone ktk mitandao ili iweje? kama sio kutaka umaarufu kunuka,” ameandika Sinta.


“Rayuu or whatever u call ya self wewe ni msichana mzuri kwanini unakimbizana na umaarufu ?waacha umaarufu ukufuate sio wewe uu kimbize ndio maana watu wanawachukulia cheap kwasababu ya matendo yenu ya kukurupuka na upungufu wa mawazo. You wanna be rihhana sio? shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!”

"SIWEZI KUTOA RUSHWA YA NGONO ILI NICHEZE FILAMU YA MTU"....MARTHA


MSANII wa filamu Martha Nkunde ‘Martha’, ameuambia mtandao huu  kuwa kamwe hawezi kushiriki kwenye filamu ya mtu kwa kutoa rushwa ya ngono, na kama hivyo ni bora akae nyumbani kuliko kujidhalilisha na mwisho wa siku azungumziwe kuwa ni muhuni.

Martha
alifunguka na kudai kuwa kwa upande wake ni heri asifanye filamu kwani kitu kibaya ni kujirahisisha na kama una kipaji huna sababu ya kuruhusu kuchezewa ovyo. 

Hata hivyo aliongeza kwa tangu alipoingia kwenye tasnia hiyo hakuna mdau wa filamu aliyewahi kumuomba rushwa ya ngono kwa lengo la kupata nafasi ya kushiriki kwenye filamu.

RAYUU AJICHORA TATOO MATAKONI

MSANII ndani ya tasnia ya filamu na tamthilia za kibongo Rayuu amezidi kujichora tattoo kwenye mwili wake ambapo sasa aamua kuchora kiunoni na sehemu 
nyingine nyeti. 


Mtandao huu  baada ya kusikia taarifa hizo kutoka kwa rafiki yake kipenzi kuwa msanii huyo amezidi kujichafua mwili kwa kujichora ndipo ulipoamua kumtafuta ili kupata ukweli wa ishu hiyo na alipopatikana alifunguka kuwa ni kweli lakini zote alizochora hazina ubaya wowote.


Rayuu
alisema kuwa amechora michoro hiyo sehemu nyingi za mwili wake kuanzia kiunoni, shingoni, kwenye maziwa, makalio na mapaja na alidai kuwa anajisikia furaha kuwa na tattoo hizo kwani hajafanya kwa kushawishiwa na mtu.


Alidai kuwa hata hivyo kati ya michoro hiyo aliouweka kiunoni unasomeka jina lake la 
‘Rayuu’ na mengine ni ya aina mbalimbali, “tattoo nazipenda sana lakini kati ya zote hii ya kiunoni naipenda kuliko zote ingawa aliyenichora aliikosea kidogo,” alisema.



UMEZISOMA HIZI?

 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger