Showing posts with label martha. Show all posts
Showing posts with label martha. Show all posts

"SIWEZI KUTOA RUSHWA YA NGONO ILI NICHEZE FILAMU YA MTU"....MARTHA


MSANII wa filamu Martha Nkunde ‘Martha’, ameuambia mtandao huu  kuwa kamwe hawezi kushiriki kwenye filamu ya mtu kwa kutoa rushwa ya ngono, na kama hivyo ni bora akae nyumbani kuliko kujidhalilisha na mwisho wa siku azungumziwe kuwa ni muhuni.

Martha
alifunguka na kudai kuwa kwa upande wake ni heri asifanye filamu kwani kitu kibaya ni kujirahisisha na kama una kipaji huna sababu ya kuruhusu kuchezewa ovyo. 

Hata hivyo aliongeza kwa tangu alipoingia kwenye tasnia hiyo hakuna mdau wa filamu aliyewahi kumuomba rushwa ya ngono kwa lengo la kupata nafasi ya kushiriki kwenye filamu.
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger