Home » » AJABU......KIGANJA CHA MKONO WA BINADAMU CHAKUTWA KWA MGANGA AKIMUUZIA MTEJA WAKE KWA KIASI CHA MILIONI 100 JIJINI MWANZA

AJABU......KIGANJA CHA MKONO WA BINADAMU CHAKUTWA KWA MGANGA AKIMUUZIA MTEJA WAKE KWA KIASI CHA MILIONI 100 JIJINI MWANZA

tangazo

Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.

Washukiwa walikamatwa  jana  karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza  wakifanya  biashara  hiyo  haramu....
 

 Baada  ya  upekuzi  wa  kina, mteja  alikuwa  ana  milioni  100  na mganga alikutwa  na   kiganja cha  binadamu  ambacho kilikuwa  kibichi kikitoa damu.

Kiganja  hicho  kilikuwa  kimevishwa  tunguri  na nywele za binadamu.

Tupe Maoni yako!

KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger