Showing posts with label DIAMOND. Show all posts
Showing posts with label DIAMOND. Show all posts

MGANGA WA DIAMOND AFUNGUKA NA KUDA KUWA ANGUKO LAKE LIMEKARIBIA MAANA HAMJALI SIKU HIZI


 Ustadhi Yahya Michael, mkazi wa Dar, hivi karibuni amejitokeza na kudai kuwa yeye ndiye mganga aliyempaisha mwanamuziki Nasibu Abdu ‘Diamond Platnumz’ ambaye kwa sasa ni kinara wa Bongo Fleva.....

Akizungumza na Risasi  katika mahojiano maalum maeneo ya Magomeni, Dar, mganga huyo alidai kuwa pamoja na jitihada kubwa alizofanya kumpaisha Diamond lakini anamshangaa kwa kuwa amesahau alikotoka na anajifanya supastaa.


Alidai kuwa siku hizi akimpigia simu, Diamond huwa hapokei, tofauti na zamani alipokuwa akihangaika kuchomoka kisanii.


Mganga huyo alifunguka kuwa sababu ya kufanya hivyo ni baada ya kuchukuliwa na watu waliompeleka kwa waganga wa Kigoma ambako anajidanganya kuwa ndiyo wanampaisha kumbe walimchukua akiwa ameshampandisha kwa kumpa dawa kali za mvuto.


Alizitaja dawa alizompatia Diamond kuwa ni mitishamba aina ya Dubi, Ntajamasala (hii humfanya watu wamuogope na kumheshimu), Italigula, Nkangacharo na Kalila Lila (ambayo huichoma na kuoga kwa ajili ya kuwavutia watu).

Alidai kuwa Diamond amejisahau na hajui kama anguko lake linakuja kufuatia ahadi aliyoiweka wakati anaanza kuimba baada ya kumpatia dawa hivyo atapotea kwenye muziki.


Akielezea historia ya kukutana kwao, Ustadhi Yahya alisema yeye na staa huyo walikutana miaka ya 2000 nyumbani kwa Papaa Misifa ambaye alikuwa meneja wa Diamond.


Alidai kuwa kubadilika kwa Diamond kulikuja baada ya kutwaa tuzo tatu za Kili mwaka 2010 ndipo akawa anahusudu wanawake tofauti na masharti ya dawa japokuwa alimkanya lakini hakumsikia.

DIAMOND ANASEMAJE?
Katika maelezo yake, Diamond alikataa kata kata kuwa hamfahamu mtu huyo kisha akakata simu.
“Sina msikiti nitakuwaje na Ustadhi? Huyo mganga nasema simfahamu,” alisema kisha akakata simu.

JUX NA DIAMOND WATAMBISHIANA VIFUA.....


Diamond kwenye picha mbalimbali akionesha sixpacks zake!! Who is that girl? 
DIAMOND PLUTNUM

Jux JUX

AIBU: DIAMOND AAMUA KUYAANIKA MAKALIO YAKE


Kwa wale walioondoka mapema kwenye show ya Fiesta usiku wa kuamkia Jumapili baada tu ya Rick Ross kumaliza performance yake, walikosa kujionea kituko kilichofanywa na Diamond Platnumz. Ama wengine wamekuja tu kuona picha zilizosambaa kwenye internet.

 Akiwa stage na madancer wake wakati show imepamba moto, Diamond aliamua kuvua na kuonesha boxer yake nyeupe kama ishara kuwa yeye na madansa wake ni ‘wasafi’ kiasi cha kutoogopa kuionesha hadharani.

Bahati mbaya watanzania wamemuelewa tofauti. Kitendo hicho kimewakera wengi. 

Kwa mujibu wa maoni tuliyoyapata kupitia ukurasa wetu wa Facebook baada ya jana kuweka picha hiyo, wengi wameitafsiri picha hiyo kama ishara ya ‘ushoga’ na huku wengine wakienda mbali zaidi na kuibua tena mada ya ufreemason. Haya ni baadhi ya maoni.

“Wanaonyesha kuwa na mapepo hao maana walianza na kuvua magoti hadi mashati wakabakiza suruali , sasa wamebakiza boxer unadhani wakishatoa boxer watabakiza nini, huo ni ushirikina na muda si mrefu watahumbuka hao maana naona ule mwisho wao umeshafika; hizo ni akili ama matope…wana akili ama matahairaaaaa1.”

“Ndio maana wazee wetu hawaupend kuusikiliza huu muzk munaoita bongo flava. Uchafu kama huu mnafanya mbele za watu au umaarufu unatafutwa kwa kila njia,basi huyo tanzanite awe john elton wa bongo.”

“Lbd alielewa tofauti,alpockia MUONEKANO MPYA BURUDAN ILEILE ndani ya fiesta!!nd mana akafanya hcho k2ko lkn pia mayb woz search and luking fo huzband! nadhan co rdhk nyota uyu.teh teh teh shame upon hiz unimpressive kboxa.”
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger