Showing posts with label rayuu. Show all posts
Showing posts with label rayuu. Show all posts

" NANI MALAYA KATI YANGU NA SINTAH?"...RAYUU




BAADA ya picha za msanii za Rayuu kusambaa mitandaoni na kushika kasi kwenye macho ya watu na hadi kufikia hatua ya msanii Christine John ‘Sintah’, kudai kuwa msanii huyu anatafuta umaarufu kunuka, naye Rayuu ameamua kumjibu kwa kuhoji kuwa kati na yeye na Sintah nani malaya, na haoni sababu ya kumtukukana kwa sababu ya picha zake zinaonesha mgongo na si kitu kingine.

Kauli chafu aliyoitumia
Sintah kwa Rayuu ni hii aliyosema kuwa msanii huyo anatafuta ‘umaarufu kunuka’, huku kauli nyingine alizotumia kuponda picha za msanii huyo zikiwa katika utata kiasi kwamba kuna ishu kubwa ambayo inataka kutokea kati ya wasanii hawa wawili.

Hata hivyo Mwandishi 
alizungumza na Rayuu, ili aeleze ni kitu gani kinachosababaisha hadi Sintah kutoa kauli kama hizo dhidi yake, ambapo alidai kuwa suali la picha hizo imekuwa gumzo kwani haitaji bifu na Sintah, kwa sababu hakuna siku hata moja ambayo amewahi kuzungumza nae katika maisha yake.

Rayuu
alisema kuwa hajawahi kufanya kitu chochote kibaya kwa Sintah, lakini anashangaa kuona yeye ndiyo amekuja kasi kumtukutana kupitia blog yake.

Hata hivyo
Rayuu alitumia ukurasa wake wa facebook ili kumtaka Sintah asiwe na kimbembele kwa kufuatilia vitu ambavyo havijui.



Aliongeza 
“Sintah dn talk on tings ambazo hujui zilipo anzia u were supposed to ask coz u dn evn knw wea da pic came from besides kwan mgongo ni uchi or tatoo ni uchi i may nat speak may b bcz i dn c da reason ya mm kupoteza pumzi yangu on smthng ambacho kimesababishwa na mtu mmoja and kwann usinge nifata personal if u really want to correct me!pics za uchi mnaziacha hiyo tatoo imekuwa gumzo! Having tattoos on ma body s nat a crime anyway!na pia mgongo c uchi!”, ni maneno aliyoyandika Rayuu kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook.


-----------------------------------------------------
MTAZAMO WETU:


RAYUU  ACHA  UTOTO.  HAYO  MATITI  YAKO  UNAMUONESHA  NANI?  UNA CHUKIA  NINI  WAKATI  WEWE NDO  ULISAMBAZA  HIZI PICHA?

SINTAH AMPA MAKAVU RAYUU KWA KUSAMBAZA PICHA ZENYE TATOO KATIKA NYETI ZAKE



Baada ya muigizaji wa filamu na video model maarufu kwa jina la Rayuu kusambaza picha mtandaoni zikionesha tattoo alizojichora kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wake kama kiunoni, shingoni, kwenye maziwa, makalio na mapaja, watu mbalimbali wamejitokeza na kumponda.

Miongoni mwao ni mtangazaji wa kipindi cha Harusini cha DTV, Sinta aliyeamua kuitumia website yake kumpa somo mugizaji huyi aliyeigiza filamu kama The Image, Trinita Show, Sound of Death, One House na zingine.




“Hivi mtasema mimi namuonea kuandika hivi ama?? mimi ni mtambo wa kurekebisha tabia kwakweli waigizaji wengine wanatafuta umaarufu kwa kasi sana,sasa huyu so called msanii wa Bongo wa filamu anataka atoke,na ameshatoka sasa,una pose upigwe picha ili watu wakuone ktk mitandao ili iweje? kama sio kutaka umaarufu kunuka,” ameandika Sinta.


“Rayuu or whatever u call ya self wewe ni msichana mzuri kwanini unakimbizana na umaarufu ?waacha umaarufu ukufuate sio wewe uu kimbize ndio maana watu wanawachukulia cheap kwasababu ya matendo yenu ya kukurupuka na upungufu wa mawazo. You wanna be rihhana sio? shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!”

RAYUU AJICHORA TATOO MATAKONI

MSANII ndani ya tasnia ya filamu na tamthilia za kibongo Rayuu amezidi kujichora tattoo kwenye mwili wake ambapo sasa aamua kuchora kiunoni na sehemu 
nyingine nyeti. 


Mtandao huu  baada ya kusikia taarifa hizo kutoka kwa rafiki yake kipenzi kuwa msanii huyo amezidi kujichafua mwili kwa kujichora ndipo ulipoamua kumtafuta ili kupata ukweli wa ishu hiyo na alipopatikana alifunguka kuwa ni kweli lakini zote alizochora hazina ubaya wowote.


Rayuu
alisema kuwa amechora michoro hiyo sehemu nyingi za mwili wake kuanzia kiunoni, shingoni, kwenye maziwa, makalio na mapaja na alidai kuwa anajisikia furaha kuwa na tattoo hizo kwani hajafanya kwa kushawishiwa na mtu.


Alidai kuwa hata hivyo kati ya michoro hiyo aliouweka kiunoni unasomeka jina lake la 
‘Rayuu’ na mengine ni ya aina mbalimbali, “tattoo nazipenda sana lakini kati ya zote hii ya kiunoni naipenda kuliko zote ingawa aliyenichora aliikosea kidogo,” alisema.



UMEZISOMA HIZI?

 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger