xdjay imefanikiwa kunasa picha mbalimbali za aibu za msanii chipukizi na mwanamuziki Manaiki Sanga akifanya ufuska wa kutisha na wanawake tofauti tofauti hali inayoonesha ameazimia kujitoa muhanga juu ya gonjwa hatari la ukimwi linalotishia dunia nzima.
Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu kilichotushushia shehena za picha hizo kilisema msanii huyo ambae pia ni anaigiza pamoja na kundi la Ze Komedi la East Afrika Tv tangu apate jina amekuwa akijihusisha na vitendo viovu vya unyanyasaji wa kijinsia kwa kuwarubuni mabinti kupiga nao picha za aibu kwa lengo la kutafuta jina na amekuwa
akitumia kiasi kikubwa cha pesa kufanikisha suala hilo.
Aidha katika hali nyingine msanii huyo aliyetamba sana kwenye filamu ya Love Position, Tikisa na nyinginezo amekuwa akitumia gari yake kufanyia ufusika hadharani....
Mtandao wa xdjay umefanikiwa kunasa picha mbalimbali za aibu za msanii chipukizi na mwanamuziki Manaiki Sanga akifanya ufuska wa kutisha na wanawake tofauti tofauti hali inayoonesha ameazimia kujitoa muhanga juu ya gonjwa hatari la ukimwi linalotishia dunia nzima.
Habari
za uhakika toka kwa chanzo chetu kilichotushushia shehena za picha
hizo kilisema msanii huyo ambae pia ni anaigiza pamoja na kundi la Ze
Komedi la East Afrika Tv tangu apate jina amekuwa akijihusisha na
vitendo viovu vya unyanyasaji wa kijinsia kwa kuwarubuni mabinti kupiga
nao picha za aibu kwa lengo la kutafuta jina na amekuwa
akitumia kiasi kikubwa cha pesa kufanikisha suala hilo.
akitumia kiasi kikubwa cha pesa kufanikisha suala hilo.
Aidha katika hali nyingine msanii huyo aliyetamba sana kwenye filamu ya
Love Position, Tikisa na nyinginezo amekuwa akitumia gari yake
kufanyia ufusika
"
Kwa kweli hali ni mbaya ile gari yake ameigeuza kama gesti ambapo
ukiiona gari hiyo imepaki sehemu kwa muda uje kuna shughuri inafanyika
ndani hivyo tunaliomba jeshi la polisi Kanda ya Dar es Salaam
kulifanyia kazi suala hilo kisha kumtia mikononi huenda wasichana wa
watu wakasalimika jamani" Alisema muhudumu wa baa ya Coco Beach ambako
msanii huyo huwa anapenda kukaa.
Gari
ya msanii huyo imekuwa maarufu sana huku nyuma ya gari hiyo kukiwa na
maneno haya " Nina Fanya Mambo" Money is Paper na inadaiwa msanii huyo
ni mtoto wa kigogo mmoja maarufu ambae anamiki hotel kadhaa hapa mjini
ikiwemo Itumbi iliyopo Magomeni.
Picha
hizi zinawaonesha mamisi mbalimbali Kama Irine Kanka ambae alikuwa
Miss Temeke namba 2 mwaka juzi. Miss Utalii Fathiya Alfan" Mrembo wa
Facebook" Dida ambae ni mwanamuziki huko Zanziba. na wengineo.
Hata hivyo watu wamemuonya msanii nyota wa kike nchini
Wastara kutompa nafasi msanii huyo kwani akifanya hivyo atakuja kujuta kwani imeonekana siku za hivi karibuni amekuwa na ukaribu sana kiasi cha kwenda nyumbani kupata chakula.
Wastara kutompa nafasi msanii huyo kwani akifanya hivyo atakuja kujuta kwani imeonekana siku za hivi karibuni amekuwa na ukaribu sana kiasi cha kwenda nyumbani kupata chakula.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.