WAKATI SHILOLE ANAPERFORM FIESTA 2012, ALIWADATISHA MPAKA ASKARI NA MABAUNSA......
Nilichokigundua ni kwamba askari pamoja na kikosi cha mabaunsa waliokua
mbele kabisa kuhakikisha usalama unakuepo, wote waligeuka kuangalia
stage baada ya Shilole na dancers wake kudatisha kwa jinsi walivyokua
wanacheza, yani jamaa walijiachia kabisa.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.