...
DUH,,, IRENE UWOYA APOROMOSHA MATUS YA NGUONI,,, KISA,,,SOMA ZAIDI.....

“...Wale ma-(Tusi linalohusisha kiungo cha mwili) wanao post (Tusi kama la hapo mwanzo) humu...waaandike watakavyo...sio (Tusi- vitendo vibaya kwenye jamii) tuuu yan na vza yakuzunguka dunia nzima....siitaj watu ma-(Tusi kali sana)...kama
na kuboa kafe mbele....eti range nimehongwa mtasubiri sanaaaa....sina
mdaa huo sinaaa...wakukaa pemben na kumsmanga mtuuuu...wote mnao ni
disss ma-(Tusi la kumalizia sentensi)...”
Hayo ni maneno ya mwadada Irene Uwoya aliyoaandika usiku wa leo
hii kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii. Tulipoyasoma tuu,
tulishtushwa sana kwani si kawaida kwa mwanadada huyu kuandika maneno
mzito...
HAYA TENAAA,,, MCHINA AUKATA UUME WAKE BAADA YA KUKATALIWA NA DEMU WAKE......

Mwanaume mmoja wa Jiaxing, China amejikuta akichukua uamuzi mgumu wa
kujikata uume wake baada ya nyota yake ya bahati katika mapenzi
kushindwa kung’aa katika anga la maisha yake, kiasi cha kumfanya akate
tamaa na kuamua kuchukua uamuzi huo.
Baada ya kujikata kiungo hicho muhimu katika mwili wa mwanaume,
mchina huyo Yang Hu mwenye miaka 26 aligundua kwamba haikuwa ndoto ni
kweli ameukataa uume wake, ndipo alipochukua baiskeli yake na kukimbia
hospitali kwa matarajio ya kwenda kuunganishiwa kiungo chake
alichokikata mwenyewe.
Sipati picha aliwezaje kunyonga ‘pedal’ za baiskeli yake mpaka...
DAH,,,,,HABARI KUHUSU WALEMAVU WALIOPELEKWA MOMBASA NA MWANAMKE MMOJA KUFANAYA BIASHARA YA OMBAOMBA,,,,,SOMA ZAIDI

Citizen TV Kenya wanaripoti kwamba huko
Mombasa wamekamatwa watu 26 wenye ulemavu ambao walichukuliwa kutoka
Tanzania na Mwanamke Mtanzania ili kwenda kufanya biashara ya kuomba
pesa na baadae jioni Mwanamke huyo anapitia mahesabu huku akiwa
amewaweka walemavu hawa kuishi kwenye nyumba moja huko Mwembe tayari.
Mwanamke huyu nadaiwa kuwa na mtindo wa
kuagiza Walemavu kuchukuliwa Tanzania na kuingizwa Kenya kupitia Taveta
na Lungalunga ambapo anawatumia kibiashara yeye na washirika wake ambapo
mpaka sasa washukiwa saba wametiwa mbaroni kutokana na hii ishu.
Taarifa inasema ombaomba hawa ambao
wanatoka Shinyanga,...
Labels:
HABARI MCHANGANYIKO
MAJANGA..... KILA MSICHANA NINAEJARIBU KUMTONGOZA,,,,,,ANANIOMBA HELA,,,,JAMANI NISAIDIENI...HIKI NI NINI?????????

Mimi ni Kijana wa miaka 25 ninafanya
kazi bank moja hapa Mjini ..nimefikia umri wa kutafuta mchumba wa kuoa
ila hawa mabinti sijui wakoje kila ninaye mtongoza haipiti siku
ananiomba hela kwa visingizio mbali mbali na mimi demu akishaniomba hela
design hii hapo hapo naona sio namuona kimeo ndio wale wale ....Kwani Mapenzi siku hizi lazima usambaze Hela kwanza ndio upendwe ama? Naomba ushau...
INATIA HIZUNI.. MTU MMOJA AFARIKI MAHAKAMANI AKISUBIRI KUMTOLEA DHAMANA MWANAE
MTU mmoja aliyefahamika kwa
jina la Tiger Mwaigomole (70) Mkazi wa kata ya Masukulu wilayani Rungwe
amefariki dunia ghafla akiwa katika chumba cha Mahakama ya Wilaya ya
Rungwe akifuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili mtoto wake wakati
Mahakama ikiendelea.Tukio hilo la aina yake lilitokea hivi
karibuni majira ya saa 9 alasiri ndani ya Mahakama hiyo ambapo Marehemu
alifika mahakamani hapo akiwa na mwanaye aliyejulikana kwa jina la
Lusajo Tiger (40) wakiwa na lengo la kumwekea dhamana ndugu yao Gwakisa
Tiger ambaye alifikishwa mahakamani hapo akituhumiwa kwa kosa la
kupigana na kujeruhi katika ugomvi uliotokea kijijini kwao.Kwa
mujibu...
Labels:
HABARI ZA KITAIFA
INATIA UCHUNGU....WANANDOA HAWA WAKOSA MSIMAMIZI KATIKA NDOA YAO.....KISA.... SOMA ZAIDI,,,,,
Irene Malecela na mume wake, Sixmond Mdeka ‘Ras Six’ wakikata keki.
- WALIKOSA WASIMAMIZI WA NDOA
- MKE HAWEZI KWENDA CHOONI MWENYEWE
Irene Malecela na Sixmond Mdeka ‘Ras Six’ katika pozi.
WANAMUZIKI wa kizazi kipya ambao ni wanandoa, Irene Malecela
na mume wake, Sixmond Mdeka ‘Ras Six’, wamelieleza Dodoso habari ya
kusikitisha
Wanamuziki hao ambao kwa sasa ni wazazi wa mtoto mmoja anayeitwa
Jason, wamelieleza paparazi kuwa ulemavu walionao uliwafanya wakose
wasimamizi kwenye ndoa yao.
Wawili
hao mara baada ya kukosa wasimamizi kwa kila waliyekuwa wanakwenda
kumwambia kuhusu suala...
Labels:
HABARI MCHANGANYIKO
Video ya mganga aliyekamatwa na kiganja cha binadamu kikivuja damu huko Mwanza

Watu watatu wakiwemo waganga wawili wa jadi wamekamatwa na polisi katika
eneo la Igombe Tx, jijini Mwanza wakiwa na kiganja cha mkono wa kulia
unaoaminika kuwa wa binadamu.
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza,
kamishna msaidizi wa polisi Joseph Konyo amesema tukio hilo limetokea
eneo la kati ya ziwani na nyuma ya uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya
raia wema kuwapa taarifa za siri.
...
Labels:
HABARI ZA KITAIFA
Mtoto wa miaka 8 alazimishwa kuwa housegeli....Mwajiri wake amchoma kisu

UKATILI! Katika hali ya kusikitisha, mtoto mwenye umri wa miaka 8
aliyejitambulisha kwa jina la Loveness na mwenzake aitwaye Anna,
wanadaiwa kulazimishwa kufanya kazi za ndani huku wakipata vipigo vikali
kutoka kwa waajiri wao.
Loveness alikuwa akifanyishwa kazi Ubungo-Maziwa na Anna alikuwa Kimara jijini Dar.
Watoto hao wameeleza kazi nzito wanazofanyishwa katika mazingira magumu wakiwa na umri mdogo, wanaohitaji kwenda shule.
“Mama (mwajiri wake) alikuwa akinipiga na wakati mwingine kunichanja na kisu,” alisema Loveness.
Majirani ambao hawakupendezwa na matukio hayo, walitutonya ili kufuatilia suala hilo.
Jirani mmoja...
Labels:
HABARI ZA KITAIFA
picha za mwili wa marehemu baba wema sepetu alipoagwa jijini dar, es salaam

BABA mzazi wa staa wa sinema za Kibongo
ambaye pia ni Miss Tanzania 2006/2007 Wema Sepetu, Balozi Abraham Isaac
Sepetu ameagwa jana jioni nyumbani kwake Sinza - Mori jijini Dar es
Salaam.
Tukio hilo lilihudhuria na viongozi
mbalimbali wa kiserikali akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph
Warioba, Getrude Mongela pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa Benard Membe na wengine wengi waliofika kutoa heshima za
mwisho kwa mwili wa marehemu aliyefariki dunia Jumapili ya wiki
iliyopita.
Waziri Membe kwa niaba ya serikali ametoa
salamu za rambirambi na kuchangia kiasi cha shilingi...
Labels:
HABARI ZA KITAIFA
HAYA TENA...... UCHOVU KITANDANI WAMFANYA MSANII HUYU WA KIKE WA BONGO MOVIE KUWACHUKIA WANAUME WA KIBONGO

Msanii
wa kike wa filamu bongo maarufu kwa jina la Husna Chobis ‘Avana’
amedai kuwa yeye hataki kuwa na mwanaume wa kibongo kwa sababu wengi
wao ni waongo na hawayajui mapenzi...
Akiongea
na mwandishi wetu, mrembo huyo alidai kuwa umaarufu wake humpa
wakati mgumu sana wa kumtambua mwanaume mkweli maana wengi
humtamani kimapenzi kutokana na jina lake ( ustaa wake )
“Sitaki
kuzalishwa wala kuwa na ...
MTOTO WA DARASA LA SITA ACHAPWA NA MWALIMU WAKE HADI KUPOOZA MIGUU.... KISA ALIKUNYWA MAJI YA SHULE BILA RUHUSA...

MWANAFUNZI wa darasa la sita, Ismail Godfrey (13) anayesoma katika
Shule ya Msingi Maendeleo Sinuka iliyopo mkoani Kigoma amejikuta kwenye
wakati mgumu baada ya kudai kutandikwa viboko na Mwalimu Muige Joseph
na kupooza miguu.
Mtoto huyo ambaye kwa sasa anapata matibabu katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili jijini Dar baada ya kukosa matibabu ya kina mkoani Kigoma
alipokutana na mwandishi wetu alikuwa na haya ya kusema:
“Awali sikuwa na matatizo yoyote ya kiafya hususan katika viungo vya
mwili, isipokuwa haya yalinipata baada ya kuchapwa fimbo na mwalimu
wangu ndipo nikapooza ghafla.
Miguu...
Labels:
HABARI ZA KITAIFA
AJABU......KIGANJA CHA MKONO WA BINADAMU CHAKUTWA KWA MGANGA AKIMUUZIA MTEJA WAKE KWA KIASI CHA MILIONI 100 JIJINI MWANZA

Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.
Washukiwa walikamatwa jana karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza wakifanya biashara hiyo haramu....
Baada ya upekuzi wa kina, mteja
alikuwa ana milioni 100 na mganga alikutwa na kiganja cha
binadamu ambacho kilikuwa kibichi kikitoa damu.
Kiganja hicho kilikuwa kimevishwa tunguri na nywele za binadamu...
Labels:
HABARI ZA KITAIFA
MAMBO YA LADY GAGA JUKWAANI LAIV BILA NGUO.....AKITUMBUIZA

Huyu ni msanii Lady Gaga
aliyeamua kutoa burudani akiwa uchi wa mnyama katika show
ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.
Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa
amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea
kuperform ghafla alianza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye
kulishusha vazi lote na kubaki uchi...
DAH... NGUMI ZAPIGWA KATI YA WADADA BARABARANI ETI KISA BWANA WANAEMGOMBANIA

Wadada wawili Warembo wa Mitaa ya kawe waliamua kuzichapa kavu kavu
bila maglovsi mbele za watu kwa eti mmoja akimtuhumu mwenzie kuwa
anatoka na Boyfriend wake...Inasemekana hawa madada ni marafiki sana
lakini leo yamewashinda baada ya kuchangia bwana mmoja .....
UKATILI.. PANGA NA RUNGU VYATUMIWA NA BABA MZAZI WA MTOTO KUMWADHIBU KWA KOSA LA KUTOKWENDA SHULE HUKO MKOANI MBEYA

Victoria Mukama (10) baada ya matibabu
Kabla ya matibabu
Mwalimu
wa zamu wa Shule ya Msingi Airport, Damali Obadia alisema tukio hilo la
ajabu lilitokea majira ya saa mbili na nusu asubuhi ambapo akiwa
ofisini alimuona mzazi huyo akiwa na mtoto huku akiendelea kumpiga
wakielekea ofisini.
Mama
mzazi wa binti huyo Teodora Paulo alisema yeye na mume wake hawakuwepo
nyumbani ambapo baada ya kurejea kutoka Msibani majira ya asubuhi
walimkuta...
Labels:
HABARI ZA KITAIFA
AJABU....MWIZI WA KUKU AVULIWA NGUO BAADA YA KUKAMATWA......AFUNGIWA NDANI YA TENGA NA WANANCHI TAYARI KWA KUCHOMWA MOTO

Huyu ni mkenya aliyekuwa
ameiba kuku.Wananchi walipomnasa walimpa kichapo kikali na kisha
kumfungia ndani ya tenga la kuku kwa ajili ya kumchoma moto….
Wangali katika maandalizi ya kutafuta petrol, polisi waliwasili eneo la tukio na kumuokoa kwa kumpeleka kitu...
LESENI ZA MAFUTA NA GESI ZAPINGWA NA MNYIKA

WAZIRI Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, amemtaka Rais Jakaya
Kikwete kusitisha mzunguko wa nne wa utoaji wa leseni za utafutaji wa
gesi asili na mafuta hadi sera na sheria ya gesi asili zikamilike, na
marekebisho ya sera ya nishati na sheria za mafuta yafanyike.
Mnyika ambaye pia ni mbunge wa Ubungo (CHADEMA), alisema hatua hiyo
ni kurejea maoni na mapendekezo aliyoyawasilisha bungeni kwa niaba ya
Kambi Rasmi ya Upinzani Mei 22 mwaka huu.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, alisema rais anapaswa
kuchukua hatua hiyo kwa kuzingatia kwamba Mei 25 mwaka huu, badala ya
kushughulikia mapendekezo...
MKE WA MTU ANASWA AKIJIUZA HUKO BUGURUNI

Mchumba huyo wa mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Diva alitoa
kali ya mwaka baada ya kuzimia ghafla huku akitokwa na mapovu kinywani
baada ya kunaswa akijiuza.
Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita maeneo ya Kimboka, Buguruni, Dar
ambapo msichana huyo pamoja na ‘madadapoa’ wenzake walikuwa wakifanya
biashara hiyo haramu bila kificho.
Mara baada ya kuona wenzake wakiwa mikononi mwa nguvu za dola katika
kamatakamata ya polisi, mrembo huyo ambaye baadaye alijitambulisha kama
mchumba wa mtu, alianguka ghafla na kuzimia kiasi cha kuzua hofu
miongoni mwa machangu wenzake walioangua kilio wakidhani mwenzao...
Labels:
HABARI MCHANGANYIKO