Kuna tetesi kuwa muimbaji wa country nchini Marekani, Taylor Swift
ameamua kuachana na mpenzi wake member wa kundi la One Direction, Harry
Styles.
Kwa mujibu wa mtandao wa The National Enquirer sababu za kuachana kwao ni kutokana na Styles kuchoshwa na malalamiko ya kila kukicha kutoka kwa Taylor kutokana na kuwa hajatahiriwa.
“Taylor didn’t like the fact that English-born Harry was not circumcised – she even suggested he undergo surgery,” chanzo kimoja kilicho karibu na Harry kiliuambia mtandao huo.
Kiliongeza kuwa Harry aliweka wazi kuwa hana mpango wa kutahiriwa.

KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.