Home » » DAH... NGUMI ZAPIGWA KATI YA WADADA BARABARANI ETI KISA BWANA WANAEMGOMBANIA

DAH... NGUMI ZAPIGWA KATI YA WADADA BARABARANI ETI KISA BWANA WANAEMGOMBANIA

tangazo

Wadada wawili Warembo wa Mitaa ya kawe waliamua kuzichapa kavu kavu bila maglovsi mbele za watu kwa eti mmoja akimtuhumu mwenzie kuwa anatoka na Boyfriend wake...Inasemekana hawa madada ni marafiki sana lakini leo yamewashinda baada ya kuchangia bwana mmoja ...

Tupe Maoni yako!

KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger