Kanye West ameonesha kuwa jamii ya hip hop inamkubali zaidi baada ya jana kuibuka na tuzo sita za BET HIP HOP AWARDS 2012.
‘Ye alikuwa ametajwa kwenye vipengele 17 katika tuzo hizo zilizorushwa jana (October 9)lakini zilirekodiwa September 29.
Kanye alishinda pamoja na zingine kipengele cha Producer of the Year, the Made You Look Award (Best Hip Hop Style) na Perfect Combo Award kwa ngoma yake “Mercy,” aliofanya na crew yake G.O.O.D. Music.
Hii ndio list nzima ya BET Hip Hop Awards 2012:
Best Hip-Hop Video
Drake (featuring Lil Wayne), “HYFR”
Reese’s Perfect Combo Award
Kanye West, 2 Chainz, Big Sean and Pusha T, “Mercy”
Best Live Performer
The Throne
Lyricist of the Year
Kendrick Lamar
Video Director of the Year
Hype Williams
Producer of the Year
Kanye West
MVP of the Year
Rick Ross
Track of the Year
The Throne, “N—as in Paris”
CD of the Year
The Throne, Watch the Throne
DJ of the Year
DJ Khaled
Rookie of the Year
2 Chainz
Made You Look Award (Best Hip Hop Style )
Kanye West
Best Club Banger
The Throne, “N—as in Paris”
Best Mixtape
Meek Mill, Dreamchasers 2
Sweet 16: Best Featured Verse
2 Chainz, “Mercy”
Hustler of the Year
Jay-Z
Impact Track
Nas, “Daughters”
People’s Champ Award
2 Chainz (featuring Drake), “No Lie”
Best Hip-Hop Online Site
WorldstarHipHop.com
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.