Hii inatosha kabisa kuthibitisha kuwa wabongo hujipiga picha kwa makusudi na kuzisambaza.....
Huyu demu ni Mary John,.....Siyo siri hili jina kwangu ni geni.Maana yeke ni kwamba demu ni underground na anatafuta kutoka na kujulikana kupitia skendo.......
Hivi ni nani atakayehangaika kukuvizia chumbani ili akupige picha? hizi picha hujipiga wenyewe.Wasanii mnatia aibu.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.