Huyu ni mkenya aliyekuwa ameiba kuku.Wananchi walipomnasa walimpa kichapo kikali na kisha kumfungia ndani ya tenga la kuku kwa ajili ya kumchoma moto….
Wangali katika maandalizi ya kutafuta petrol, polisi waliwasili eneo la tukio na kumuokoa kwa kumpeleka kituoni
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.