…Ally choki…
…Ally choki akimpiga tafu ya kunengua mnenguaji wake.
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ya jijini Dar es Salaam jana
iliwapagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani
wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.