Msanii wa taarab nchini anayejulikana kwa
jina la Nyawana Fundikira aliyetamba na wimbo wa 'Nipo Kamili
Nimejipanga', amefariki dunia mchana huu kwa ugonjwa wa malaria.
Nyawana amefariki akiwa kwake maeneo ya Mwananyamala B na mwili wake sasa umepelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Mwananyamala, Dar.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.