Utakuta mtu akienda chooni anajipiga picha
na kumuhonga mwandishi amtoe gazetini......
Hivi nyie mastaa mna mtazamo gani? au mnajitangaza mpate soko haswa ladiez kama wema
sepetu, jackline wolper, shilole
jini kabula n.k
Utakuta mtu bila ya aibu anamwita mwandishi wa habari
anamlipa hela kidogo anapachua sidiria au kichupi then anamwambia mwandishi nipige picha ukatoe gazetini.....Hii ni aibu
Mnatutia aibu jamani navichupi vyenu na visidiria
vya mafungu.....Hivi ninyi hamna wazazi au ndugu au hamkufundwa huko kwenu?......Badilikieni jamani
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.


