Mimi ni Kijana wa miaka 25 ninafanya
kazi bank moja hapa Mjini ..nimefikia umri wa kutafuta mchumba wa kuoa
ila hawa mabinti sijui wakoje kila ninaye mtongoza haipiti siku
ananiomba hela kwa visingizio mbali mbali na mimi demu akishaniomba hela
design hii hapo hapo naona sio namuona kimeo ndio wale wale ....Kwani Mapenzi siku hizi lazima usambaze Hela kwanza ndio upendwe ama? Naomba ushauri
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.