Mwanaume mmoja amepatwa na umauti baada ya kuchangiwa na kupigwa na wanawake wawili huko Madhya Pradesh. mwanamke huyo ambaye alishirikiana na mkwe wake aliyeolewa na mwanawe kumpiga mumewe tena nnje ya mahakama, alifanikiwa kumuua,kisa ni ugomviwa ardhi, wameshikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.