
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ amewashauri mabinti wanaotaka kukuza makalio yao, watumie dawa za Mchina licha ya kuwa yeye hazitaki hata kuzisikia.
Akizungumza na dodoso, Aunt Lulu alisema licha ya kuwa yeye hajawahi kutumia dawa hizo lakini kwa wale wanaotaka kuwa kama yeye basi watumie kwa raha zao.
“Tumieni nyie mnaotaka kukuza makalio, mimi sijawahi kutumia na sitawahi kwani yangu ni ya asili,” alisema Aunt Lulu.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.