Kama tunavyojua baada ya kuisha kwa shindano la Big Brother Africa Stargame la mwaka huu ,Rapper toka nchini Kenya, Jackson Makini alias CMB Prezzo alichaguliwa kuwa Balozi wa ONE campaign ambayo hujiusisha na maswala ya kutokomeza njaa nchini Africa.
Latest Infonz ni kuwa Rapper huyu tayari ameshaaanza kuitumia kazi yake as ambassadors wa ONE campaign na ushauidi ni video hii hapa chini akifreestlye kwa ajili ya One Campaing baada ya kumaliza mkutano na wadau wa kampuni hiyo na Waandishi wa Habari.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.