Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Abiria Juma
Ali Jaku wa Jahazi ya Sun Rise iliyopata ajali na kuzama kati ya Tanga
na Mkokotoni ikiwa imebeba Abiria 32 kati ya hao 21 wameokolewa na saba
hadi sasa hawajapatikana. Kushoto ya Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mh. Pemba Juma Khamis.
Nahodha wa Jahazi ya Sun Rise iliyozama kati ya Tanga na Mkokotoni Bwana Abdulla Saleh akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mkasa uliowapata wa kuzama baada ya chombo chao kupatwa na dhoruba kali.
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.