Home » , , , » " NANI MALAYA KATI YANGU NA SINTAH?"...RAYUU

" NANI MALAYA KATI YANGU NA SINTAH?"...RAYUU

tangazo



BAADA ya picha za msanii za Rayuu kusambaa mitandaoni na kushika kasi kwenye macho ya watu na hadi kufikia hatua ya msanii Christine John ‘Sintah’, kudai kuwa msanii huyu anatafuta umaarufu kunuka, naye Rayuu ameamua kumjibu kwa kuhoji kuwa kati na yeye na Sintah nani malaya, na haoni sababu ya kumtukukana kwa sababu ya picha zake zinaonesha mgongo na si kitu kingine.

Kauli chafu aliyoitumia
Sintah kwa Rayuu ni hii aliyosema kuwa msanii huyo anatafuta ‘umaarufu kunuka’, huku kauli nyingine alizotumia kuponda picha za msanii huyo zikiwa katika utata kiasi kwamba kuna ishu kubwa ambayo inataka kutokea kati ya wasanii hawa wawili.

Hata hivyo Mwandishi 
alizungumza na Rayuu, ili aeleze ni kitu gani kinachosababaisha hadi Sintah kutoa kauli kama hizo dhidi yake, ambapo alidai kuwa suali la picha hizo imekuwa gumzo kwani haitaji bifu na Sintah, kwa sababu hakuna siku hata moja ambayo amewahi kuzungumza nae katika maisha yake.

Rayuu
alisema kuwa hajawahi kufanya kitu chochote kibaya kwa Sintah, lakini anashangaa kuona yeye ndiyo amekuja kasi kumtukutana kupitia blog yake.

Hata hivyo
Rayuu alitumia ukurasa wake wa facebook ili kumtaka Sintah asiwe na kimbembele kwa kufuatilia vitu ambavyo havijui.



Aliongeza 
Sintah dn talk on tings ambazo hujui zilipo anzia u were supposed to ask coz u dn evn knw wea da pic came from besides kwan mgongo ni uchi or tatoo ni uchi i may nat speak may b bcz i dn c da reason ya mm kupoteza pumzi yangu on smthng ambacho kimesababishwa na mtu mmoja and kwann usinge nifata personal if u really want to correct me!pics za uchi mnaziacha hiyo tatoo imekuwa gumzo! Having tattoos on ma body s nat a crime anyway!na pia mgongo c uchi!”, ni maneno aliyoyandika Rayuu kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook.


-----------------------------------------------------
MTAZAMO WETU:


RAYUU  ACHA  UTOTO.  HAYO  MATITI  YAKO  UNAMUONESHA  NANI?  UNA CHUKIA  NINI  WAKATI  WEWE NDO  ULISAMBAZA  HIZI PICHA?

Tupe Maoni yako!

KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DODOSO - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger