Msanii
wa kike wa filamu bongo maarufu kwa jina la Husna Chobis ‘Avana’
amedai kuwa yeye hataki kuwa na mwanaume wa kibongo kwa sababu wengi
wao ni waongo na hawayajui mapenzi...
Akiongea na mwandishi wetu, mrembo huyo alidai kuwa umaarufu wake humpa wakati mgumu sana wa kumtambua mwanaume mkweli maana wengi humtamani kimapenzi kutokana na jina lake ( ustaa wake )

“Sitaki
kuzalishwa wala kuwa na uhusiano wa kudumu na mwanaume toka
Tanzania maana wengi wao ni tapeli na hata ukiwakubali huwa
hawajui kitu . ALIFUNGUKA.....
"Bora kwa nchi za wenzetu kuna ndoa za mikataba kiasi kwamba mtu unakuwa unajua kabisa nitakuwa na huyu kaka kwa muda fulani , ntazaa naye au ni wa raha tu.
"Hiyo inasaidia sana kwa sababu kama huyo kaka ni MSHAMBA inakuwa ni rahisi kwako kumpiga chini na kuangalia ustaarabu mwingine”..alisema Avana

KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.